dioson

Thursday, February 18, 2016

Breaking News..!!!!!!!!!: Matokeo Ya Mtihani Kidato Cha Nne -2015 Yametoka....Yatazame Hapa




 

BOFYA HAPA KUYATIZAMA....!!! 

Baraza la mitihani Tanzania limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2015 yanayoonesha kiwango cha ufaulu kushuka kwa asilimia 0.80.
  Akitangaza matokeo hayo, Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dkt Charles Msonde amesema kuwa jumla watahiniwa 272,947 sawa na 67.53% ya watahiniwa wote waliofanya mtihani wa kidato cha nne 2015 wamefaulu tofauti na mwaka 2014 ambapo ufaulu ulikuwa 68.33%.
 
Msonde amesema kwa upande wa watahiniwa wa shule, waliofaulu ni 240,996 sawa na asilimia 67.91 ya waliofanya mtihani, wasichana wakiwa 11,125 (64.84) na wavulana wakiwa 124,871 (71.09).
 
Amesema kwa upande wa watahiniwa wa shule, ufaulu umeshuka kwa asilimia 1.85 ikilinganishwa na mwaka 2014.
 
Aidha kwa upande wa watahiniwa wa kujitegemea, Dkt Msonde amesema watahiniwa 31,951 sawa na asilimia 64.80 wamefaulu ikilinganishwa na watahiniwa 29,162 (61.12) waliofaulu mwaka 2014.
 
Kwa upade wa ubora wa ufaulu kwa kuangalia madaraja waliyopata watahiniwa wa shule, Msonde amesema waliopata daraja la kwanza ni 9,816 sawa na asilimia 2.77, daraja la pili ni 31,986 sawa na asilimia 9.01, daraja la tatu ni 48,127 sawa na asilimia 13.56.
 
Aidha waliopata daraja la nne ni 240,996 sawa na asilimia 67.91 na waliopata daraja la sifuri (waliofeli) ni 113,489 sawa na asilimia 32.09.
 
Watahiniwa waliopata ufaulu mzuri wa kati ya daraja la kwanza hadi la tatu ni 94,941 sawa na asilimia 24.73 wavulana wakiwa 56,603 sawa na 29.99 na wasichana 38,338 sawa na asilimia 19.63.
 
Amesema kwa upande wa ufaulu wa masomo kwa watahiniwa wa shule, ufaulu wa juu kabisa ni wa somo la Kiswahili ambapo asilimia 77.63 wamefaulu huku ufaulu wa chini kabisa ukiwa ni wa somo la Basic Mathematics ambapo asilimia 16.76 wamefaulu.
 
Matokeo hayo yamepangwa katika mfumo wa madaraja (Division) badala ya ule wa wasatani wa alama (GPA) kama ambavyo iliagizwa na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi hivi karibuni.

BOFYA HAPA UYAONE LIVE....!!! 

Thursday, June 25, 2015

NJIA ZINAZOHAMASISHA MTU AWE NA UWEZO MKUBWA KIAKILI

Yapo mambo ambayo ubongo wa binadamu unatakiwa kuyafanya kwa ufanisi ili mtu aonekane kuwa ana akili.Mambo hayo ni kama vile kuwa na uwezo wa kujifunza na kuelewa kwa haraka, kutunza kumbukumbu na kuwa na uwezo wa kutumia tena taarifa zilizotunzwa katikaubongo ili kuzichanganua kulingana na hali halisi ya mazingira yanayomkabili.Tunaweza kuutazama ubongo kama ilivyo kompyuta ilivyo na mfumo tata wa kuchakata taarifa ambayo utendaji wake hutegemea uwezo wa mtumiaji.Hivyo ndivyo pia ilivyo akili ya binadamu. Akili hutegemea maumbile ya vitu vilivyomo ndani ya ubongo na mazingira ya nje,” anasema Dk Mohana Ali katika makala yake ya ‘The Biological-Environmental Hypothesis of Human Intelligence’ iliyochapishwa Julai, 2014 katika mtandao wa www.dana.orgKatika ubongo kuna nyaya zinazosafirisha taarifa kutoka seli moja kwenda seli nyingine ya ubongo. Nyaya hizi zimefunikwa na utando wa mafuta mafuta unaojulikana kama myelin.Myelin kama ilivyo kwa vifuniko vya plastiki vinavyofunika waya wa umeme, huzuia mkondo wa taarifa katika seli za ubongo zisivuje na kwa maana hiyo huziwezesha kusafiri kwa haraka katika sehemu mbalimbali za ubongo.Ubongo wenye myelin yenye ubora wa haliya juu husaidia mtu kuwa na uwezo mkubwa wa kiakili.Yapo mambo ambayo yanasaidia ubongo kuwa na afya nzuri na yanasaidia myelin kuwa katika hali nzuri. Ubongo unahitaji lishe bora na kuchangamshwa ili uweze kufanya kazi vizuri na kuwa na uwezo wa kiakili. Kwa maana hiyo akili zinalelewa na kukuzwa.Wataalamu wa afya wanasema kuwa lishe yenye kiasi cha kutosha cha wanga na sukari ni muhimu kwa ajili ya kuupatia ubongo nguvu.Ulaji wa samaki pia husaidia ubongo kupata mafuta mafuta ambayo ni muhimu kwa ajili ya kukuza uwezo wa kiakili.Kucheza, kufanya mazoezi na kuvuta hewasafi ya kutosha pia ni muhimu kwa ajili ya kuchangamsha akili na kuongeza uwezo wa ubongo kufanya kazi zake kwa ufanisi.“Akili yako inahitaji mazoezi pia. Kama utaacha kujizoeza na kutumia uwezo wa akili na ujuzi wa kutatua matatizo, uwezo wa kufikiri na utambuzi wa mambo, utategemea vipi akili yako kuwa nyingi?” anauliza mtaalamu wa tiba ya tabia katika mji wa Florida nchini Marekani, Andrea Kuszewski.
Kadiri ubongo wa mtoto unavyochochewa kwa vichocheo na vichangamshi salama, ndivyo chembe nyingi zaidi za neva zinavyoanza kufanya kazi na kuunganishwa.Ubongo wa mtoto hauchochewi na kukuzwa kupitia kufundishwa mambo, hesabu au lugha pekee. Wanasayansi wanasema kwamba ubongo wa mtoto unahitaji kuchochewa pia kihisia kwa upendo.Tafiti nyingi za kisayansi zinaonyesha kwamba ubongo wa mtoto wadogo hauwezi kustawi vizuri iwapo hawakumbatiwi, hawaguswi, hawachochewi kihisia na wale wasioshirikikatika kucheza.Dk Samwel Shita wa gazeti hili, anasema kwamba kucheza kunachangia kukuza uwezo wa akili.“Miongoni mwa faida za kiafya za kucheza kwa watoto ni kupata afya bora ya ubongo,kujijengea ujuzi, kukuza ufahamu…kumjengea uwezo wa ufanyaji uamuzi na kukuza kipaji,” anasema Dk Shita.Mtaalamu wa masuala ya saikolojia ya watoto wa hapa nchini, Denis Munga aliwahi kukaririwa akizungumzia watoto wanaocheza na kuonyesha utundu mwingikuwa ni wenye akili nyingi.Munga anaongeza kusema: “Ili kufahamu kama akili za mtoto zinafanya kazi vizuri, mzazi anatakiwa achunguze kama mtoto ana tabia ya kushughulishwa na vitu vilivyo karibu yake.”Mwanasaikolojia na daktari bingwa wa watoto na upasuaji wa ubongo, Benjamin Carson wa Marekani anasema: “Hakuna mtu mwenye akili ndogo. Ikiwa una ubongo wa kawaida na wenye afya njema, wewe ni mtu mwenye uwezo mzuri kiakili.”Dk Carson anachukua mfano wa yeye mwenyewe akisema: “Mimi nilikuwa mwanafunzi mwenye uwezo mdogo sana wa kiakili darasani. Nilikuwa mwanafunzi wa mwisho darasani kiasi kwamba wanafunzi wenzangu na walimu wangu walikuwa wananiita zoba. Jambo lililonifanya kuchukia sana na kuwa mtu mwenye vurugu.”Anaendelea kusimulia kuwa mama yake kuona hivyo aliamua kumsaidia kwa kumtia moyo kwa upendo na upole na kumpangia ratiba maalumu ya kujisomea kila siku.Anasema baada ya muda alianza kufanya vizuri darasani. Mwaka mmoja baadaye alishika namba ya kwanza darasani. “Ni katika kipindi hicho ndipo nilipotambua sikuwa mbumbumbu,” anasema.Mwaka 1987, Dk Carson aliushangaza ulimwengu kwa kuweka historia ya kipekee katika fani ya tiba ya upasuaji kutokana na kufanikisha upasuaji wa pacha walioungana vichwa ambao ulichukua saa 22.
Thomas Alva Edison, mgunduzi wa balbu za umeme aliwahi kusema kuwa akili nyingi kwa kiasi kikubwa ni matokeo ya kufanya bidii katika kufikiri na kufanya kazi ili mambo mazuri uliyokusudia yatokee.Edison aliyasema hayo baada ya kushindwa mara nyingi katika majaribio yaugunduzi wake lakini hakukata tamaa na hatimaye alifanikiwa.Katika kipindi cha utoto wake, walimu wake walimuona kama mtoto mwenye uwezo mdogo wa kiakili lakini hilo halikumkatisha tamaa.Naye, Walter Isaacson, mwandishi aliyeandika habari za maisha ya watu wenye akili nyingi kama Steve Jobs mgunduzi wa iPod, Albert Einstein na Benjamin Franklin anasema watu hawa wote walikuwa na tabia zinazofanana kama vile kuwa na tamaa na malengo ya kufanya vitu tofauti na kuwa na maono au ndoto walizotaka zitimie.Isaacson anaongeza kusema kuwa watu hao pia walijua namna ya kutumia akili za watu wengine ili kufanya mambo yatokee.Waliamini kuwa akili nyingi ni uwezo wa kutumia akili za watu wengine ili kupanua uwezo wa kufikiri na kubuni.Walitoa pia changamoto kwa fikra za wengine lakini waliamini kuwa ubongo wao una uwezo wa kutatua changamoto zao na binadamu wengine.Dr Alfred Barrious mtaalamu bingwa wa saikolojia ambaye pia ni mwandishi wa kitabu cha Towards Greater Freedom and Happiness cha mwaka 1978, anasema “ watu wengi hufanya makosa kufikiri kuwa watu wenye akili nyingi wamerithi uwezo wote wa kiakili ila ukweli ni kwamba wamewezeshwa pia na mazingira yao kuwa na akili”Naye Luciano M na wenzake katika utafiti wao wa mwaka 2004 uliochapishwa katikajarida la ‘Behavior Genetics’ toleo la 34, anabainisha kuwa uwezo wa akili kufanya kazi haraka na kubuni mambo unatokana na urithi wa vinasaba pamoja na kukuzwa na mazingira.Ripoti ya Chama cha Wataalamu wa Saikolojia nchini Marekani kilitoa ripoti yake Agosti 1995, kikisema kwamba watu hutofautiana katika uwezo wa kuelewa mambo, kujifunza kutokana na uzoefu.Kikaeleza kuwa hali hiyo huenda sawia na mazingira, kufikiri na kukabili vikwazo vya mawazo. Ripoti hiyo iliongeza kusema kuwa uwezo wa mtu wa kiakili unaweza kutofautiana na mwingine kutokana na matukio pamoja na vigezo mbalimbali.Katika utafiti mmoja uliofanywa na Lewis Terman mwaka 1921 nchini Marekani kwa ajili ya kubaini watoto wenye akili nyingi, wanafunzi wawili, Wiliam Shockly (mgunduzi wa transistor) na Luis Walter Alvarez walionekana kuwa hawakuwa na uwezo mkubwa kiakili lakini katika utu uzima wao walifanya vizuri sana katika somo la fizikia kiasi cha kutunukiwa tuzo ya Nobel.
Kati ya wanafunzi waliofanya vizuri sana katika utafiti huo, asilimia 30 ya wavulana na asilimia 33 ya wasichana walipokuwa watu wazima hawakuonyesha ubunifu wala uwezo mkubwa wa kiakili na wenginehawakumaliza masomo yao.Katika kitabu chake kiitwacho ‘Frames of Mind’, mwanasaikolojia Howard Gardner anasema kuwa kuna aina tisa za akili.Anasema kwamba aina hizi zinaweza kujitokeza wakati wa utoto au ukubwani. Baadhi ya aina za akili ni pamoja na akili yakujua hesabu, akili ya muziki, akili ya ujuzi wa lugha, akili ya michezo, ujuzi wa uandishi na akili za uvumbuzi wa kisayansi.Akili nyingine ni za maadili na akili za kujuajinsi ya kuhusiana na watu vizuri.Zacc Dukowitz katika makala yake inayoelezea jinsi ya kumsaidia kila mwanafunzi kufungulia uwezo wake wa kiakili anasema “Watoto wenye uwezo mdogo kiakili wanaweza kukuza uwezo wao kama watawezeshwa kubadili mtazamo unaowafanya wafikiri kuwa hawana akili.“Wakisaidiwa kujiona kuwa wana akili, uwezo wao utapanuka na ubongo wao utafanya kazi taratibu lakini kwa hakika kuelekea ufanisi ” anasema Zacc.Anaongeza kusema kuwa ili mtu amsaidie mtoto awe na akili ni lazima mwenyewe akubali kubadili fikra na mtazamo wake dhidi ya mwanawe kwanza.Unatakiwa kuacha kusisitiza mtoto kukupatia majibu sahihi bali akupatie mchakato sahihi wa kupata majibu yake.“Ni vyema kuthamini makosa kama sehemu ya mchakato wa kujifunza na hatimaye kuweza,” naongeza Zacc Dukowitz.Mmoja wa watu wenye uzoefu katika elimunchini, Mtemi Zombwe anasema: “Wanaofanikiwa zaidi ni wale wanaoshindwa mara nyingi.”Katika makala yake iliyochapwa kwenye gazeti hili Agosti 12, mwaka huu kuhusu ‘Shahada bila kujituma ni sawa na umaskini’ anahoji: “Utashindwaje kama hujajaribu mara nyingi?”Anasema lengo la akili katika maisha siyo kuwakoga au kuwafurahisha wengine kwa kujibu vizuri mitihani bali ni kutuwezesha kukabiliana na changamoto za maisha na kutatua matatizo.
Shule ni sehemu ya maandalizi katika kukuza uwezo wa akili na kumuandaa mtu kujiamini katika fani yake ambayo ataona inamfaa katika maisha yake na kwa jamii nzima.

Monday, January 5, 2015

The 25 most difficult questions you'll be asked on a job interview Being prepared is half the battle.

The 25 most difficult questions you'll be asked on a job interview

Being prepared is half the battle.

If you are one of those executive types unhappy at your present post and embarking on a New Year's resolution to find a new one, here's a helping hand. The job interview is considered to be the most critical aspect of every expedition that brings you face-to- face with the future boss. One must prepare for it with the same tenacity and quickness as one does for a fencing tournament or a chess match.

This article has been excerpted from "PARTING COMPANY: How to Survive the Loss of a Job and Find Another Successfully" by William J. Morin and James C. Cabrera. Copyright by Drake Beam Morin, inc. Published by Harcourt Brace Jovanovich.

Morin is chairman and Cabrera is president of New York-based Drake Beam Morin, nation's major outplacement firm, which has opened offices in Philadelphia.

1. Tell me about yourself.

Since this is often the opening question in an interview, be extra careful that you don't run off at the mouth. Keep your answer to a minute or two at most. Cover four topics: early years, education, work history, and recent career experience. Emphasize this last subject. Remember that this is likely to be a warm-up question. Don't waste your best points on it.
2. What do you know about our organization?

You should be able to discuss products or services, revenues, reputation, image, goals, problems, management style, people, history and philosophy. But don't act as if you know everything about the place. Let your answer show that you have taken the time to do some research, but don't overwhelm the interviewer, and make it clear that you wish to learn more.

You might start your answer in this manner: "In my job search, I've investigated a number of companies.

Yours is one of the few that interests me, for these reasons..."

Give your answer a positive tone. Don't say, "Well, everyone tells me that you're in all sorts of trouble, and that's why I'm here", even if that is why you're there.
3. Why do you want to work for us?

The deadliest answer you can give is "Because I like people." What else would you like-animals?

Here, and throughout the interview, a good answer comes from having done your homework so that you can speak in terms of the company's needs. You might say that your research has shown that the company is doing things you would like to be involved with, and that it's doing them in ways that greatly interest you. For example, if the organization is known for strong management, your answer should mention that fact and show that you would like to be a part of that team. If the company places a great deal of emphasis on research and development, emphasize the fact that you want to create new things and that you know this is a place in which such activity is encouraged. If the organization stresses financial controls, your answer should mention a reverence for numbers.

If you feel that you have to concoct an answer to this question - if, for example, the company stresses research, and you feel that you should mention it even though it really doesn't interest you- then you probably should not be taking that interview, because you probably shouldn't be considering a job with that organization.

Your homework should include learning enough about the company to avoid approaching places where you wouldn't be able -or wouldn't want- to function. Since most of us are poor liars, it's difficult to con anyone in an interview. But even if you should succeed at it, your prize is a job you don't really want.
4. What can you do for us that someone else can't?

Here you have every right, and perhaps an obligation, to toot your own horn and be a bit egotistical. Talk about your record of getting things done, and mention specifics from your resume or list of career accomplishments. Say that your skills and interests, combined with this history of getting results, make you valuable. Mention your ability to set priorities, identify problems, and use your experience and energy to solve them.
5. What do you find most attractive about this position? What seems least attractive about it?

List three or four attractive factors of the job, and mention a single, minor, unattractive item.
6. Why should we hire you?

Create your answer by thinking in terms of your ability, your experience, and your energy. (See question 4.)
7. What do you look for in a job?

Keep your answer oriented to opportunities at this organization. Talk about your desire to perform and be recognized for your contributions. Make your answer oriented toward opportunity rather than personal security.
8. Please give me your defintion of [the position for which you are being interviewed].

Keep your answer brief and taskoriented. Think in in terms of responsibilities and accountability. Make sure that you really do understand what the position involves before you attempt an answer. If you are not certain. ask the interviewer; he or she may answer the question for you.
9. How long would it take you to make a meaningful contribution to our firm?

Be realistic. Say that, while you would expect to meet pressing demands and pull your own weight from the first day, it might take six months to a year before you could expect to know the organization and its needs well enough to make a major contribution.
10. How long would you stay with us?

Say that you are interested in a career with the organization, but admit that you would have to continue to feel challenged to remain with any organization. Think in terms of, "As long as we both feel achievement-oriented."
11. Your resume suggests that you may be over-qualified or too experienced for this position. What's Your opinion?

Emphasize your interest in establishing a long-term association with the organization, and say that you assume that if you perform well in his job, new opportunities will open up for you. Mention that a strong company needs a strong staff. Observe that experienced executives are always at a premium. Suggest that since you are so well qualified, the employer will get a fast return on his investment. Say that a growing, energetic company can never have too much talent.
12. What is your management style?

You should know enough about the company's style to know that your management style will complement it. Possible styles include: task oriented (I'll enjoy problem-solving identifying what's wrong, choosing a solution and implementing it"), results-oriented ("Every management decision I make is determined by how it will affect the bottom line"), or even paternalistic ("I'm committed to taking care of my subordinates and pointing them in the right direction").

A participative style is currently quite popular: an open-door method of managing in which you get things done by motivating people and delegating responsibility.

As you consider this question, think about whether your style will let you work hatppily and effectively within the organization.
13. Are you a good manager? Can you give me some examples? Do you feel that you have top managerial potential?

Keep your answer achievement and ask-oriented. Rely on examples from your career to buttress your argument. Stress your experience and your energy.
14. What do you look for when You hire people?

Think in terms of skills. initiative, and the adaptability to be able to work comfortably and effectively with others. Mention that you like to hire people who appear capable of moving up in the organization.
15. Have you ever had to fire people? What were the reasons, and how did you handle the situation?

Admit that the situation was not easy, but say that it worked out well, both for the company and, you think, for the individual. Show that, like anyone else, you don't enjoy unpleasant tasks but that you can resolve them efficiently and -in the case of firing someone- humanely.
16. What do you think is the most difficult thing about being a manager or executive?

Mention planning, execution, and cost-control. The most difficult task is to motivate and manage employees to get something planned and completed on time and within the budget.
17. What important trends do you see in our industry?

Be prepared with two or three trends that illustrate how well you understand your industry. You might consider technological challenges or opportunities, economic conditions, or even regulatory demands as you collect your thoughts about the direction in which your business is heading.
18. Why are you leaving (did you leave) your present (last) job?

Be brief, to the point, and as honest as you can without hurting yourself. Refer back to the planning phase of your job search. where you considered this topic as you set your reference statements. If you were laid off in an across-the-board cutback, say so; otherwise, indicate that the move was your decision, the result of your action. Do not mention personality conflicts.

The interviewer may spend some time probing you on this issue, particularly if it is clear that you were terminated. The "We agreed to disagree" approach may be useful. Remember hat your references are likely to be checked, so don't concoct a story for an interview.
19. How do you feel about leaving all your benefits to find a new job?

Mention that you are concerned, naturally, but not panicked. You are willing to accept some risk to find the right job for yourself. Don't suggest that security might interest you more than getting the job done successfully.
20. In your current (last) position, what features do (did) you like the most? The least?

Be careful and be positive. Describe more features that you liked than disliked. Don't cite personality problems. If you make your last job sound terrible, an interviewer may wonder why you remained there until now.
21. What do you think of your boss?

Be as positive as you can. A potential boss is likely to wonder if you might talk about him in similar terms at some point in the future.
22. Why aren't you earning more at your age?

Say that this is one reason that you are conducting this job search. Don't be defensive.
23. What do you feel this position should pay?

Salary is a delicate topic. We suggest that you defer tying yourself to a precise figure for as long as you can do so politely. You might say, "I understand that the range for this job is between $______ and $______. That seems appropriate for the job as I understand it." You might answer the question with a question: "Perhaps you can help me on this one. Can you tell me if there is a range for similar jobs in the organization?"

If you are asked the question during an initial screening interview, you might say that you feel you need to know more about the position's responsibilities before you could give a meaningful answer to that question. Here, too, either by asking the interviewer or search executive (if one is involved), or in research done as part of your homework, you can try to find out whether there is a salary grade attached to the job. If there is, and if you can live with it, say that the range seems right to you.

If the interviewer continues to probe, you might say, "You know that I'm making $______ now. Like everyone else, I'd like to improve on that figure, but my major interest is with the job itself." Remember that the act of taking a new job does not, in and of itself, make you worth more money.

If a search firm is involved, your contact there may be able to help with the salary question. He or she may even be able to run interference for you. If, for instance, he tells you what the position pays, and you tell him that you are earning that amount now and would Like to do a bit better, he might go back to the employer and propose that you be offered an additional 10%.

If no price range is attached to the job, and the interviewer continues to press the subject, then you will have to restpond with a number. You cannot leave the impression that it does not really matter, that you'll accept whatever is offered. If you've been making $80,000 a year, you can't say that a $35,000 figure would be fine without sounding as if you've given up on yourself. (If you are making a radical career change, however, this kind of disparity may be more reasonable and understandable.)

Don't sell yourself short, but continue to stress the fact that the job itself is the most important thing in your mind. The interviewer may be trying to determine just how much you want the job. Don't leave the impression that money is the only thing that is important to you. Link questions of salary to the work itself.

But whenever possible, say as little as you can about salary until you reach the "final" stage of the interview process. At that point, you know that the company is genuinely interested in you and that it is likely to be flexible in salary negotiations.
24. What are your long-range goals?

Refer back to the planning phase of your job search. Don't answer, "I want the job you've advertised." Relate your goals to the company you are interviewing: 'in a firm like yours, I would like to..."
25. How successful do you you've been so far?

Say that, all-in-all, you're happy with the way your career has progressed so far. Given the normal ups and downs of life, you feel that you've done quite well and have no complaints.

Present a positive and confident picture of yourself, but don't overstate your case. An answer like, "Everything's wonderful! I can't think of a time when things were going better! I'm overjoyed!" is likely to make an interviewer wonder whether you're trying to fool him . . . or yourself. The most convincing confidence is usually quiet confidence

Friday, February 21, 2014

Matokeo ya kidato cha nne 2013/2014

Bofya hapa

Maelezo zaidi...
Baraza la mitihani la Taifa, NECTA, limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika mwezi November mwaka jana, huku kiwango cha ufaulu wa masomo ukipanda kati ya asilimia 0.16 na 16.72 ikilinganishwa na mwaka 2012, na wasichana wakiibuka kidedea katika ufaulu wa jumla kitaifa.

Jumla ya watahiniwa 235,227 sawa na asilimia 58.25 ya watahiniwa wote wamefaulu mtihani, idadi ya wasichana ikiwa 106,792 na wavulana 128,435, tofauti na mwaka 2012 ambapo waliofaulu walikuwa ni 185,940.

Kaimu katibu mtendaji wa NECTA, Dkt. Charles Msonde anatangaza rasmi matokeo haya, ambayo yanaonyesa ufaulu kimasomo ukiongozwa na somo la Kiswahili, kwa asilimia 67.77 huku somo la hisabati likiendeleza historia ya kushika mkia, kwa ufaulu wa asilimia 17.78.

Kati ya watahiniwa kumi bora waliofanya vema kitaifa, saba kati yao ni wasichana wakitokea shule za Marian girls, St. Francis Girls na Cannossa.

Lakini ni viwango vipi vimetumika katika usahihishaji wa mtihani huu, kwa kuzingatia mkanganyiko uliojitokeza kuhusiana na madaraja ya ufaulu?

Aidha, NECTA imefuta matokeo yote ya mtihani kwa watahiniwa 10 waliobainika kuandika matusi katika karatasi zao za majibu, na adhabu hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 6(2)(a) cha kanuni za mtihani.

Aidha baraza hilo limefuta matokeo yote ya mtihani kwa watahiniwa 272, waliobainika kufanya udanganyifu kwa njia mbalimbali, ambapo watahiniwa 242 ni wa shule, 19 ni watahiniwa wa kujitegemea na 11 ni wale wa maarifa ama QT.

Shule zilizojitokeza kufanya vizuri zaidi ni Marian wasichana na wavulana, St. Francis wasichana, Anne Maria, Kizirege, Cannossa na shule ya mwisho kwa kigezo cha watahiniwa zaidi ya 40 ikiwa ni Kitonga na chini ya watahiniwa 40 ikiwa ni shule ya Uchindile ya Morogoro.


Saturday, April 13, 2013

story of Mara Clara

Chapter 1

 

Fifteen years passed, Mara grew intelligent, poor, kind but down to earth person, Gary and Lupe blames her. Lupe blames her because she thought since she was born, the bad luck came to them but Karlo and Susan, her mother, was very kind to her while in the other side, Clara grew intelligent, rich, beautiful but she is lack of time in her parents because they are always busy in work which cause her to become spoiled. Mara had a chance to enter the private school exactly where Clara studies. She became a scholar in the school. When the school starts, Mara and Clara became enemies because Clara thought Mara was stealing her spotlight in the class like being the smartest of the class. Unknown to Mara, Clara was the most popular in the campus and the whole school. When a school competition held, Mara and Clara won. This cause their firm friendship but their friends are disagree of their friendship. Desiree, Clara's friend, tells her that Mara only uses her to take her spotlight which is not true.When an election for being president held, Mara and Clara are candidates and actually, Mara won, this cause again Clara to become angry at her. On the other side, Gary worked in a syndicate which the leader is Lover Boy and his fiancé, Lenita. Gary worked here because he will have a big salary, Karlo knew about this and reported to the police, It was later revealed that Karlo had reported them as Lover Boy's personnel told and Gary was also caught talking to Karlo so Lover Boy's gang was chasing them when suddenly, Karlo was shot by his personnel which cause his near death. In the hospital, Mara visited him and Karlo tried to tell her the truth but he was starting having attacks which cause his death, Once again, Gary blames her for Karlo's death, To take justice on his death, Gary also reported the gang and tell the police where the gang hiding exactly which cause Lover Boy's death and his personnels was left in the hand of Lenita. And then, after few days, Mara was punched by Gary because of seeing her and Christian giving her a necklace in Amante's party as Clara reported. This event is caused by Clara's jealousy. Mara and Susan needed to live far away from Gary, so they live only temporarily at the Del Valle's, It makes Clara more angry to Mara, Clara made Mara as her servant.Once, there was a school camping in Mara and Clara's school, It was Father and daughter camping, Amante and Clara was supposed to join but Amante also included Mara, this make again Clara angry. While in the camp, Surprisingly, Gary came, to go also camp with Mara. While in the challenge, Amante had to find sticks but Clara was left behind, and a snake fall on her, so she started shouting, In the other side, Gary and Mara lost the map and compass so when Gary heard Clara shouting, he rushed to her which cause Mara's lost. When a rain fall that night and they are finding including Gary and Amante, Clara go to them and she saw Mara, near the end of the cliff and just holding on a branch of a tree but she didn't help her. After that, she go away and Amante saw her. And then, when they are about to go home, Mara saw Clara's raincoat, like the one she saw when she was about to fall, so she get angry at Clara. In the other side, Lupe didn't stop gambling so her cancer in heart worsened, so she was reccomended to take more rest. In Clara's place, Gary didn't stop harrassing Clara, telling she is the real David and not the real Del Valle, so she went taking in a DNA test with Erris, Christian's friend. The result was, her blood didn't match to Alvira and Amante but she keep on hiding the truth even Erris force her to say the truth, And then, She told a lie to Gary that the result that she is the real Del Valle. In the other side, Karlo visits Lupe thru her dreams because he wanted to correct Mara's misfortune, and then one day, she read Karlo's diary and knew the truth. So she went to school where Mara and Clara studies to see her real granddaughter cause in an accident. Clara lost many blood here but when Alvira and Amante's blood didn't match so Gary came to donate, the accident cause Mara to sent to jail by Alvira. And then, Amante saw Clara talking to Erris about a DNA so he went to her room to look for it and he saw it and he told Alvira the truth and Susan also reads Karlo's diary!

Chapter 2

When Clara became normal again, Alvira let Mara became free because she jails her own daughter. So this switching of their fortunes was held in the court. And then, the judge decided to return them in their own families, At first, it was hard to live especially for Clara, who had trained to live in a rich life and do not do household chores because Yaya Vonel do all household chores (sometimes Alvira too). This cause Clara really angry to her. Mara had a sweet sixteenth birthday but Clara didn't, so she destroys Mara's party. Because the world for them is scruffy, Alvira and Amante decided to move in States even Mara don't like, so before they go, they had a farewell party or despedida to their friends. This cause Gary and Cristina team up, they plan to block Alvira and Amante to go away from them because Gary still love Alvira and Cristina, Amante's ex girlfriend, still love him. So Gary decided to hire Lenita's personnels to kidnap Mara but his personnels also kidnapped Clara so she can't report them, they didn't know Clara was Gary's daughter. And when they beg for ransom and they were fooled because the money is incomplete, Gary decided to kill Mara by attaching bomb at her. He let Clara free but she still saves Mara and try to remove the chains in her hands but Gary came and he pulled and force Clara to leave her so Mara was left crying and she died. So everybody was mourning for Mara's death but the truth is, Mara was alive and saved by Lenita, Gary's left hand, because she didn't want to kill her, she let Mara free but she slipped while she was walking and she ran fast, but the bomb exploded and causde Lenita's death, so everybody thought the body they found was Mara but it was actually Lenita so they buried Lenita's body thinking it was Mara. Mara was adopted by Nanding and Barang, she pretended to have amnesia so she can't hide from the kidnappers. And the truth is, she called Christian before she collasped in the way so Christian brought her to Nanding and Barang, his dad's friend. Because his parents are divorced, he was not allowed to go there, but secretly, he went on a vacation but his mom, Vanessa, knew about this but she never knew he would had vacation at Nanding and Barang's. He was called "Utoy" by Nanding and Barang when he was young. On the other side, Lupe was attacked by her heart cancer when she knew Gary was included to Mara's death. So Christian keep updating to them so Mara can knew what's happening.

Chapter 3

 

One day, Barang heard Christian called the girl they adopted (which is Mara) called her "Mara" (her real name) so the truth revealed so Christian and Mara went back to their families again but Mara still hides and she now hides at Christian's house and Vanessa, Christian's mom, saw her. Vanessa thought Mara was visiting her, she told Clara about Mara's appearance to her and Clara told about this to Alvira. She wonders why Mara visits Vanessa and not to hers which the truth really is, she hides in Vanessa and her divorced husband's room before which she don't want anyone to go there. So, when Mara is in danger, Christian transferred her in an apartment in back of the owner's house which Mara rents while Christian pays. One day, while Alvira is driving with Clara and Clara is talking to Alvira, she accidently bumps into the pineapple vendor, she was brought to the police station and paid all the pineapples and the vendor's wounds. They saw there Lenita's mother, which she asked the police to find her because she is lost for 1 month, as Alvira and Clara looked, Clara recognize she is the kidnapper of her and Mara. So Amante and Alvira tried to hewn (ipinahukay) the grave and to test the blood of buried body to Lenita's mother. So, Amante and Alvira waited. The result was it was Lenita's body! So Alvira, Amante and Susan are happy. On the other side, Christian had knew about it and reported to Mara that they already know the truth. But still, she keeping visiting Lupe to check her status. One day, Clara visited Christian, when Vanessa make snacks for them, she secretly looks at Christian's camera and knew that he is with Mara. So Clara became jealous again. Then, Amante visited the caught kidnapper and asked him the truth, but he will say only the truth if he gaves him 10 million pesos but Amante's money (which is also 10 million) was set to give it to the person who will say where Mara is and how is she. But, Gary outruns Amante and he sent a personnel to give him food with poison cause him to die and pretend to be his wife's friend so he cannot say the truth to Amante. Next to it, Christina called Amante to tell that she is not the one who killed the kidnapper so she wants to see him so when Gary knew it, he outruns again Amante and killed her. So, Amante was accused that he killed Christina. On the other side, Christian tells Susan that he needs a help about Mara. She came along with Christian and met her daughter again. Susan had a plan to go away in a far place and live with her forever. Without telling Christian, Mara leaves a note, telling Christian that she's sorry for what she will do. So when Christian read it, he quickly go to the bus station, knewing if Mara's fine. Susan was about to leave their house when Gary came, so she quickly hides her bag and pretend she is taking care of Lupe. When Gary's drunk and had slept, she quickly run away but before he got drunk, Gary send 2 personnels to follow Susan because he recognize there is something wrong with Susan. While on the way, Susan felt something bad, she thinks someone follows her so she try to lost their ways by losing her own way and then after that, she runs away from them but they still followed her. Mara and Susan lost their ways because they (Gary's personnels) were about to ride the bus they will ride. So, they hide in a bus which is empty and the driver is not there, Gary's personnels tried to look there but they were caught by the driver and was about to go. They try again but they were not allowed to enter without their tickets. On the way, the conductor gets the ticket but Mara and Susan don't have tickets, so Susan pleased the conductor to pay him, she pays big (1 thousand pesos) and she said not to return the change so she and Mara can ride. In the place where they were about to live (which is in Lucena), They ride a boat and accidently fall and drowned, There, Mara met Derrick. Then, Mara and Susan were allowed to work in an inn in the island. Mara worked as a janitor while Susan cooks delicious pancit in the kitchen. One day, while Mara is cleaning, She thought there's a burglar(magnanakaw) in a room, accidently, she snaps Derrick with a mop. The inn keeper being obnoxius to her, even to Susan. Because they are workers, the mayor let them to stay in the inn for free.